Wednesday, December 4, 2013

SINTA AFUNGUKA NAYE BAADA YA IRENE UWOYA KUAMBULIA MAKAVU LIVE HAPO JANA


Sintah amefunguka katika blog yake kuhusu
mwanadada Irene Uwoya kubugi siku ya jana na
kuweka Picha ya Vin Diesel akidhani ni Paul
Walker. Soma hapo chini alichokisema
" Let me a shame the devil, mara nyingi
wanapokufa mastaa wa nje jamani ktk mitandao
ya jamii tunakufa mbavu, sasa watu ndio
kujifanya wanamjua sana watasononeka kiasi
kwamba utafikiri ni ndugu wa damu,.
sasa afe star wa kwetu mmmmh hauoni hilo
vumbi kama la nje jamani tujaribu kupenda na
kuthamini vya kwetu vikiwa hai na vikitutoka sio
kujishauwasti tujuwesti na wewesti unamjuasti
paul walkerst kumbest nop
poor Irene amaejikuta akizodolewa, kwa kuchapia
sasa sijui alitaka aonekane anawajua
Hollywood celebrities very well akajikuta
anakosea baada ya kuweka pic ya Van Diesel na
si ya Paul Walker aliefariki na kusisitiza bwana
ametoa na bwana ametwaa..
calm down, don't try so hard to fit in the
cycle...... kama ni no ni NO tu...
I do the seeking n you do the judging " Sinta
"

No comments:

Post a Comment

.