Mfungaji wa mabao mawili ya Tanzania Bara,
Kilimanjaro Stars katika sare ya 2-2 na Uganda,
The Cranes kwenye Robo Fainali ya Kombe la
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA
Challenge, Mrisho Ngassa akiwa ameketi benchi
Uwanja wa Manispaa, Mombasa, Kenya baada
ya kutoka dakika ya 80 alipoumizwa na
wachezaji wa Uganda. Hata hivyo, Stars ilishinda
kwa penalti 3-2 baada ya sare hiyo ya 2-2 ndani
ya dakika 90. Picha zinazofuatia ni namna
Ngassa alivyoumizwa kidevuni kwa kiwiko na
kwanga la mguu lililomuumiza kifundo cha
mguu. Na picha nyingine ni wakati anaumizwa
uwanjani.
Sunday, December 8, 2013
HIVI NDIVYO WAGANDA WALIVYOTAKA 'KUMUUA' ANKO NGASSA LEO MOMBASSA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pole katotoo ila huo mguu mh mbayaa
ReplyDelete