Baada ya kichapo kutoka kwa timu yake ya
zamani, Everton, na mwenendo wa matokeo ya
klabu ya Manchester United, meneja wake
amesema sasa nafasi ya kutetea ubingwa ni
finyu.
Manchester ilikuw ikicheza dhidi ya Everton
katika mchezo wa ligi kuu jana, na kubamizwa
bao m0oja kwa bila katika dakika ya 86, bao
likifungwa na Bryan Oviedo. Huenda ingekuwa
sare nyingine, lakini Bryan Oviedo akaipa
msumari wa moto zaidi United. Man United
haijawahi kupoteza mchezo dhidi ya Everton
tangu 1992.
Mabingwa watetezi hao sasa wanakuwa na
tofauti ya pointi 12 dhidi ya vinara wa ligi
Arsenal FC, Huku ikishika nafasi ya 9 katika
msimamo wa ligi kuu.
Siku ya Jumamosi watacheza na Newcastle
katik uwanja wao huo huo.
# Timu P W D L F A GD Pts
1 Arsenal 14 11 1 2 29 10 19 34
2 Chelsea 14 9 3 2 28 14 14 30
3 Manchester City 14 9 1 4 40 14 26 28
4 Liverpool 14 8 3 3 30 17 13 27
5 Everton 14 7 6 1 22 13 9 27
6 Tottenham Hotspur 14 7 3 4 13 15 -2 24
7 Newcastle United 14 7 2 5 19 21 -2 23
8 Southampton 14 6 4 4 18 13 5 22
9 Manchester United 14 6 4 4 22 18 4 22
10 Aston Villa 14 5 4 5 16 16 0 19
11 Swansea City 14 5 3 6 20 19 1 18
12 Hull City 14 5 2 7 12 18 -6 17
13 West Bromwich Albion 14 3 6 5 17 19 -2 15
14 Stoke City 14 3 5 6 12 18 -6 14
15 Cardiff City 14 3 5 6 11 20 -9 14
16 Norwich City 14 4 2 8 12 28 -16 14
17 West Ham United 14 3 4 7 12 15 -3 13
18 Fulham 14 3 1 10 12 26 -14 10
19 Crystal Palace 14 3 1 10 8 22 -14 10
20 Sunderland
Friday, December 6, 2013
MAN U BAADA YA KUPOKEA KICHAPO, MOYES AKIRI KWAMBA NAFASI YA KUTETEA UBINGWA NI FINYU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment