LULU "TOKA NITOKE JELA SIIJUI
NGONO" ABADILI NUMBER MARA
13 KWA USUMBUFU WA
WAKWARE NA WASAGAJI
Elizabeth Michael "Lulu " Amedai hajakutana na
mtu yoyote kimapenzi toka atoke Jela ...Kwa
mujibu wa chanzo chetu Muigizaji huyo nyota
amesema licha ya Vishawishi vingi vya
wanaume na wasagaji lakini hakuna alie
bahatika kumnasa mpaka sasa
Inasemekana toka apatwe na Masahibu ya
Kanumba Lulu ni Kama mtu Aliyeng'atwa na
Nyoka kwa kuogopa hata kuguswa na Nyasi..
Lulu Ameshabadilisha number mara 13 na tatu
kuepukana na Usumbufu .
Thursday, December 5, 2013
MSIKIE LULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment