MTANZANIA WA KWANZA NDANI YA JARIDA LA PLAYBOY MAREKANI
Pichani
juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida
maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa
mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim
Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle, Vanessa Williams na wengineo.
Ni mkaleee
ReplyDelete