Marehemu Catherine Mhlaba, 45
Mwanamke anyejulikana kwa jina la
Catherine Mhlaba mwenye umri wa miaka 45
raia wa Zimbabwe amejiua kwa kujichoma
moto pamoja na mwanae ambaye alikuwa
Disabled.
Habari zinasema mwanamke huyo alifikia
hatua sababu ya mapenzi. Bwana aliye kuwa
nae alimuacha akachukua mwanamke
mwingine hapo hapo karibu na kwake akaona
hawezi vumilia.
Habari zinaendela kudai kwamba juzi kabla
ya tukio aliwatumia ndugu zake ujumbe wa
SMS na kuwaeleza kwamba anaenda kujiua
na baada ya hapo akazima simu yake na
ndipo alimchukua mwane huyo wakaingia
kwenye gari na kuelekea maeneo ambayo
yandaiwa huyo mwanaume alikuwa akiisha
na huyo mwanamke wake mpya.
Gari aliyokuwemo Catherine na mwanae ikiwaka
moto
Baada ya kufika maeneo hayo ambayo ni
karibu na bahari habari zinaendela kudai
kwamba gari lilionekana lilionekana linasogea
mbele na baada ya kama dakika moto
mkubwa ulilipuka kutoka kwenye gari.
Huyu ndo mtoto Beki Ali aliyekufa pamoja na
mama yake
Inadhaniwa alimwaga petrol kisha akawasha
moto. Zimamoto walifika eneo la tukio na
kufanya juhudi zote lakini hawakuweza
kuwaokoa na ilichukua zaidi ya nusu saa
kuuzima moto huo. Police walipo fika
wakakuta mwili wa Catherine na mwane
wakiwa wamesha kufa ndani ya gari.
Nadhnai alimchukua mwanae sabau alikuwa
disabled kwa kujua labda atawasumbua watu
akimuacha nyuma. Dah Mapenziiiiiii haya
jamani kasheshe.
Friday, December 6, 2013
MWANAMKE WA KIZIMBABWE AJIUA KWA KUJICHOMA MOTO NA MWANAE KISA KIKIDAIWA MAPENZI NCHINI UK.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Dah hataree
ReplyDeleteDah aisee ni kiteendo kigumu kukifanya aisee
ReplyDelete