Hapo majuzi kupitia mtandao mmoja wa kijamii
mwanadada Mainda aliamua kuvunja ukimya
baada ya kuamua kuwachana live ‘wabaya’
waka Chuchu hans, na Johari kuhusu sakata
linaloendelea la wao kumgombania mwigizaji
Vicent kigosi ambaye anadaiwa alikuwa mpenzi
wa mrembo huyo. Bila kupoteza muda soma
hapo chini alivyofunguka mwanadada huyu…
". .. Hizi salamu zako Johari, ni hivi naomba
usinitaje kwenye huo upumbavu wenu, Huyo
mwanaume mnae mzungumzia mimi kwangu
namuona mtu wa kawaida tu ndio maana
nikatupa kule. Nadhani umenipata alafu sitaki
kumpandisha mtu jina sawa?. Ni hivi mimi si
mpinzani wako, nadhani mpinzani wako unamjua
mliopiganana (Sakata la Johari na Chuchu hans
kupigana) mkataka kutoana roho kisa shingo ya
kuku mlivyokuwa wajinga na malimbukeni wa
mapenzi wanaume hapawiganiwi. Nimewakalia
kimya naona wewe mwenye kilanga umejitoa
kimasomaso ukaenda kiu ukasema Mainda
amebip wewe unataka kumpigia, ni hivi
usiniweke kwenye upumbavu wenu, mimi huyo
mwanaume wenu kwangu ni kuku kama
kumtafuna nimemtafuna mpaka mifupa alafu
nikatupa kwenye shimo la taka, sasa nyiyni
mbwa koko mlio kosa wafugaji ndio mnaruka
ovyo hamjui mle nini, pumbavu kabisa wewe na
mke mwenzio sindio amkauki kunisema me
mgonjwa, sasa kama me mgonjwa huyo bwana
wenu ni hivi wewe mwenye shape kama ubao
usiejielewa nakushauri achaha na mimi nenda
sinza…..(Itaendelea)
Thursday, December 5, 2013
SAKATA LA RAY NA WAREMBO LAFIKA PABAYA-MAINDA AMCHANA JOHARI LIVE BILA CHENGA-HATARII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment