Wednesday, December 4, 2013

Utengenezaji wa filamu mpya ya Fast and Furious sehemu ya 7 utacheleweshwa kutokana na sababu ya kifo cha mmoja wa mastaa wake, Paul Walker.

Utengenezaji wa filamu mpya ya Fast and Furious
sehemu ya 7 utacheleweshwa kutokana na sababu
ya kifo cha mmoja wa mastaa wake, Paul Walker.
Kabla ya kifo cha Paul Walker cast na crew nzima
walikuwa wameshapanga bajeti kwaajili ya kusafiri
kuelekea Abu Dhabi mnamo mwezi January 2014
kushooting baadhi ya scenes
Cast pamoja na crew ilipumzika kwa muda ili
kupisha sikukuu za marekani 'Thanks Giving' lakini
walitakiwa kurejea Atlanta siku ya Jumapili
kuendelea na scenes kadhaa, ambapo ndipo
mwenzao Paul Walker akawa amekumbwa na
mauti baada ya kugonga mti na kupata ajali ya
gari.
Waandaaji wa filamu hiyo Fast and Furious
'Hurricane Katrina Drama wamesema wataendelea
na ratiba ya kuichia rasmi Desemba 13. 'Fast and
Furious 7.

No comments:

Post a Comment

.