Mcheza filamu za kibongo Wema Sepetu
ametuma picha ya mpenzi wake wa zaman
mwanamuziki Diamond Platnamu kwenye
akaunti.yake ya instagram na kuandiki
“ i jus happen to love dis picture“
baada ya kuweka picha hiyo mashabiki
wameanza kumsifia uku wakimponda mpenzi
Penny ambae anaaminika ndio mpenzi wa
Diamond kwa sasa
Website hii imepitia akaunti ya Diamond na
kukuta picha ile ile aliyoweka Wema ikiwa na
maneno kuonesha kua usiku wa jana masanii
huyu alikua kwenye sherehe ya kuzaliwa mrembo
wa zamani wa Tanzania Jackline Ntuyabaliwe.
Saturday, December 7, 2013
WEMA SEPETU AWAWEKA PICHA HII YA DIAMOND NA KUANDIKA HIKIIIII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hahahaha chzea mahaba wee
ReplyDelete