Thursday, February 27, 2014

AYA SASA HUKO FACEBOOK SASA KIMENUKA.. KALA JEREMIAH AMSHHUKIA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU ALIKIBA ....


Kwa kitu ambacho kinaonekana si
cha kawaida kwa Kala Jeremiah kuandika
status kali ikiwa kama inamchafua Diamond na
kumsifia Ally Kiba kwa kile kilichosemekana
kuwa Ally Kiba kakopa pesa ili kumalizia ujenzi
wa nyumba aliyokuwa anajenga.

No comments:

Post a Comment

.