Friday, February 28, 2014

JUMAPILI HII WEMA ANAFANYA AUDITION YA WATOTO WENYE VIPAJI MPELEKE MWANAO

Msanii Wema sepetu jumapili hii anafanya zoezi la kutafuta watoto wenye vipaji ambao watashiriliana nao katika movie itaksyochezaa na masuper star kama wema sepetu,Aunt Ezekiel, Hemedy Phd na wengineo chini ya kampuni ya Wema ya Endless fame.
Kama unadhani mwanao anakipaji fanya umpeleke

No comments:

Post a Comment

.