Sunday, February 23, 2014

MCHEZAJI MAARUFU DUNIANI ALIPONASWA AKIMTEMEA MATE MWENZIWE KWENYE MECHI MJUE NI NANI UYU HAPA LIVE!!


Mchezo wa Ligi ya Mbaingwa barani Ulaya
uliopigwa jana kati ya Arsenal ya England
dhidi ya mabingwa watetezi, Bayern
Munich ya Ujerumani katika dimba la
Emirates jijini London, uligubikwa na kila
aina ya vituko ambavyo kuna baadhi ya
mashabiki wanadai kuwa ni sehemu ya
mchezo na wengine wakidai siyo
uungwana.Sahau kuhusu kadi nyekundu ya
mlinda mlango wa Arsenal Wojciech
Szczesny ambaye anadaiwa pia kuonesha
alama zisizofaa ambazo huenda
akaadhibiwa na UEFA

No comments:

Post a Comment

.