Tuesday, February 25, 2014

MREMBO AMISA MOBETO KIMENUKA INSTAGRAM

Hamisa mobeto aliweka pivha kabiga sitting room, inasemekana kapiga sitting room kwa bwana mmoja hivi jina kapuni , sasa mwenye mchumba kaona hiyo picha anajiuliza hamisa kafata nini hapo ndani?kwa mujibu wa hamisa kadai hapo ni kwa mpenzi wake na anajua hana mtu zaidi yake na ndio maana kamruhusu apige picha hapo,
Kuweni makini mnaopiga picha majumbani kwa watu na kuziweka mitandaoni mtaumbuka!

1 comment:

.