Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia
hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na
kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo,
Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo
iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino,
ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano
katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha
haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
Chanzo GPL
No comments:
Post a Comment