Sugua Gaga singer Sarah Kaisi aka Shaa
amejikuta akikubaliana na maswali mengi juu ya
ujazito wake, baada ya kuonyesha dalili za
maandalizi ya kupata mtoto mpya kutokana na
kuweka picha kwenye page yake ya Shaa_tz
kwenye Page yake ya instagram Shaa aliweka
picha za vifaa kadhaa vya malezi ya mtoto
mchanga kama chupa za kunyonyeshea mtoto,
vitamba kwa ajili ya kumlisha mtoto, Viatu na
vinginevyo.
Licha ya kuwepa picha ya vifaa hivyo Shaa
aliandika ujumbe mzito ambao uliambatana na
picha hiyo na kusema Baby shopping yaanza…
am soooo excited! #GodisGreat #allsmiles
#babies #family
Wednesday, December 4, 2013
UJAUZITO WA MWANAMUZIKI SHAA WABAKI KUWA KITENDAWILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment