Tazama picha zaidi...........
Kiungo wa Hull City Tom Huddlestone ametimiza
ahadi yake ya kunyoa nywele zake iwapo
angefunga bao baada kukaa miaka miwili na
nusu bila kufunga,kiungo huyo aliifungia timu
yake bao moja kwenye mchezo ambao timu yake
iliifunga Fulham mabao 6-0.
hana lolote alizichoka hahaha
ReplyDelete