Friday, January 3, 2014

YELE MSANII ANAYESIFIKA KWA UREMBO NA UZURI KULIKO WOTE NCHINI KENYA, AMEAMUA KUWAKATISHA TAMAA VIDUME BAADA YA KUMUONYESHA WAZI MPENZI WAKE ALIYEMVALISHA PETE..!!


Hit maker wa Hakuna Yule (Missing You) mwana
dada mrembo kutoka nchini Kenya Avril,
amfichue rasmi mvulana wa kizulu wa South
Africa ambaye ni mchumba wake anayetarajia
kufunga naye ndoa baada ya kuwa nae katika
mahusiano ya chini chini kwa muda mrefu na
mpenzi wake huyo.
Avril akiwa na mchumba wake katika ndege
kuelekea South Africa
Avril alishawahi post katika mitandao ya
kijamii mwishoni mwa mwaka jana picha ya
pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi
wake, lakini mashabiki wa msanii huyo
walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona
picha ya mvulana ambaye amebahatika
kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
Pete ya uchumba aliyovikwa Avril

2 comments:

  1. diamond kapiga hapo halafu huyoooooo kapangusa matako yake....hamna ki2 hapo

    ReplyDelete

.