Bw.Hafidh Masokola Damson ambaye alibadilika
na kuwa Albino kutokana na matumizi ya dawa
za Malaria baada ya kuzitumia mnamo mwaka
2010,Kwa maelezo yake mara baada ya kunywa
dawa aina ya Metakelfin alianza kubabuka
ngozi ya mwili wake huku magamba yakitoka
mithiri ya nyoka katika mwili wake.
Hafidh Masokola Damson ambaye kwa sasa
anaishi Tabora mjini eneo la National Housing
amebadilika maeneo yote ya viungo vya mwili
wake isipokuwa meno pekee na kuwa albino
hata kufikia hatua ya kujiunga na chama cha
Maalbino Tanzania tawi la Tabora.
Hafidh Masokola kabla ya kubadilika kuwa
mlemavu wa ngozi Albino.
Kwa uthibitisho wa habari hii waweza kumpigia
kwa simu ya kiganjani 0767 298 348 au 0658 298
348.
Sunday, March 2, 2014
JAMAA ABADILIKA NA KUWA ALBINO HUKO TABORA.STORI NZIMA HII HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment