MSANII wa filamu , Lulu Semagongo ‘ Anti
Lulu’ baada ya kurukaruka sana, sasa
inadaiwa ni mjamzito wa takribani miezi
mitano.
Lulu Semagongo ‘Anti Lulu ’.
Akilinyetishia Ijumaa juu ya ishu hiyo , rafiki
wa karibu wa Anti Lulu aliyeomba hifadhi ya
jina lake alisema , msanii huyo sasa amekuwa
mtumiaji mzuri wa maembe mabichi huku
magauni mapana yakiwa ndiyo mavazi yake .
“Mwanzo alikuwa anaficha lakini sasa siyo
siri na mwenyewe ameona ni bora
kuwataarifu ndugu na marafiki zake , ” alisema
mtoa habari huyo.
Katika kujua undani wa hilo, waandishi wetu
walimsaka Anti Lulu na kufanikiwa kumuona
akiwa na kitumbo chake lakini akaomba
asipigwe picha ila akasema: “Mmechelewa
kujua, mbona inakwenda mwezi wa tano
sasa , mwenye mzigo mtamjua nikishajifungua
jamani, ”alisema msanii huyo.
Thursday, December 5, 2013
ANTI LULU ATUNDIKWA MIMBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kiruuu
ReplyDelete