Friday, December 6, 2013

Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini

Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo
haraka limewasili nchini
Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo
haraka limewasili nchini
Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo
haraka limewasili nchini na kuanza kufanya
majaribio katika barabara zilizokwisha kamilika
huku mengine yakitarajiwa kuwasili mapema
mwaka kesho.
Mtendaji mkuu wakala wa mradi wa mabasi
yaendayo haraka Bi Asteria lambo amesema basi
hilo ni miongoni mwa mabasi madogo
yatakayoingia nchini yenye uwezo wa kubeba
zaidi ya abiria 40 na makubwa yatabeba abiria
zaidi ya 150 na kuwataka wakazi wa jiji la Dar es
Salamu kuendelea kuwa na subira na
kuwahakikishia mradi huo sio ndoto na adha ya
usafiri itapungua mapema mwaka kesho.
Nao baadhi ya wakazi wa jiji walioshuhudia gari
hilo wameelezea kufurahishwa na kuanza kuwa
na imani na serikali yao ambapo wamesema
kama mradi huo utakamilika kwa muda
uliopangwa utakuwa faraja sana kutokana na
adha kubwa ya usafiri wanayokumbana nayo
huku wakitoa wito kwa mamlaka husika kupanga
mikakati ya kupunguza nauli za mabasi hayo
pindi yatakapoanza kufanya safari zao.
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya
hewa na usimuumize mwenzako
Comment as:
Publish Preview
No comments:
Post a Comment
Search
TAFUTA
00:19:16
Join this site
with Google Friend Connect
Members (154) More »
Already a member? Sign in
LIKE HABARI KWANZA ON FACEBOOK
false
FELLOWZ BLOG
MICHUZI
MHE. JANUARY MAKAMBA AWASILI
WASHINGTON, DC
EDDYMOBLAZE BLOG
SERIKALI WILAYANI NJOMBE IMELAANI
WENYE VVU KUTELEKEZA DAWA ZA ARV's
VIJIMAMBO
MHE. JANUARY MAKAMBA AWASILI
WASHINGTON, DC
EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS
BLOG
HII HAPA RATIBA KAMILI MPYA YA MAZISHI
YA MADIBA
AUDIFACE JACKSON - OFFICIAL BLOG
TFF YATUMA RAMBIRAMBI MSIBA WA
NELSON MANDELA
BUKOBAWADAU
TASWIRA MAPOKEZI /MAZISHI YA MAREHEMU
HATIFU GALIATANO YALIYOFANYIKA LEO 6

No comments:

Post a Comment

.