Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe
Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet
Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya
Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya
Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu
cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo
mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
Janet Pinda (kulia) akipongezwa na
wadogozake, Nasirika Nyema (wapili
kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada
ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya
Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye
Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe
mjini Morogoro, Desemba 6, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
Janet Pinda (Kulia) akipongezwa na
mdogo wake Nasirika Nyema baada ya
kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya
Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye
Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe
Mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
Janet Pinda akipongezwa na shangazi
yake , Beatha Pinda Kaitira (kushoto)
baada ya kutunukiwa shahada ya
uzamili ya uongozi katika mifumo ya
afya kwenye mahafali ya chuo kikuu cha
mzumbe mjini Morogoro December 6,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Friday, December 6, 2013
MTOTO WA WAZIRI MKUU PINDA, JANET PINDA ALA NONDOOOOOZZZZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mxiuuuuu nilizan kadundwa
ReplyDelete