Thursday, December 5, 2013

BIASHARA MATANGAZO..!! SINTA NAYE AFUNGUKA KUHUSU YULE BLOGGER WA KIBONGO ANAYEPIGA PICHA ZA NUSU UTUPU KISHA KUZIWEKA MTANDAONI...!!


Alichokiandika Sinta hiki hapa chini....!!
Biashara ni matangazo na inapendeza sana
ukiitangaza mweyewe muhusika kwa mfano mie
nauza wedding dresses kutwa natangaza humu
na navaa pia, na yeye Flora anauza mother's
union so mpeni deal masela akamate mahela
na hii xmass inakuja anakusafirishia buree
kabisa na fasta, Mother's union oyeahhh
biashara ni matangazo na na itakuzika wewe
mwenyewe ukiitangaza na kutuonyesha mfano
kama utapendezaje ukiivaa, sasa
ushatangaziwa Mother's union sasa kazi ni
kwako kuagiza white, pink or red light special.
ciao
support Flora Lymo kununua chupi aina ya
mother's union ili umuonyeshe baby xmass iko
tofauti.....

No comments:

Post a Comment

.