AJALI MBAYA
YA KUTISHA...!SAMAHANI SANA
KWA PICHA HIZI... MTU MMOJA
AGONGWA NA FUSO NA
KUSAGIKA MIGUU NJIA PANDA
KIA MKOANI KILIMANJARO
MZEE huyu wa jamii ya kabila la wamasai
aliyetambulika kwa jina la ''Tulito'' Mkaazi
wa KIAnjia panda ya kuelekea uwanja wa ndege
wa Kilimanjaro International Airpot, Leo mda
mfupi uliopita amepata ajali mbaya ya kugongwa
na fuso alipofanya jaribio la kuvuka barabara hio
ya lami ambayo magari huenda mwendo kasi,
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka mkoni
kilimanjaro
kimedai kwamba gari hilo aina ya FUSO
halikusimama baada ya kumgonja mzee Tulito
lilitokomea..! Raia waliokuwa karibu na eneo la
tukio hawakufanikiwa kunasa walau hata namba
za gari hilo, Mzee tulito aliwahishwa Hospitali
wilayani boma kwa matibabu zaidi.
Thursday, December 5, 2013
BREAKING NEW'S: AJALI MBAYA YA KUTISHA...!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment