Sunday, December 8, 2013

BOB JUNIOR ADAIWA KUVAA NGUO ZA MKOPO


Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa
Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro
Records Bob Junior ameingia katika Aibu Ingine
baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai
Linamdai Msanii huyo Kiasi cha Shilingi 180,000
za Kitanzania ..Muuzaji wa Duka hilo Amesema
Bob Huwa anaenda hapo kuchukua nguo
ambazo huwa tunamkopesha mpaka sasa deni
limefikia kiasi hicho na tukimtafuta anapiga
chenga kulipa..
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta
Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye
huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya
kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu....

1 comment:

.