Kocha machachari na mwenye majigambo
Mourinho wa Chelsea amejitokeza na kuipongeza
team ya Arsenal ambayo inaonekana ni mwiba
katika ligi hiyo ya England ..Amesema Arsenal
kwa sasa Wamejipanga na wanastahili kushika
number moja katika msimamo huo wa ligi ....Ili
pia ametoa onyo na kusema Ubingwa wa Ligi
huwa ni Mwezi May na sii December so wasijione
ndio wameshashinda.
Sunday, December 8, 2013
SALUTI: MOURINHO AIKUBALI ARSENAL...ILA PIA AIONYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jaman hv man u wapooo kwelii sijawaona siku nyingiii
ReplyDelete