Kuna point fulani kama mwanaume inabidi
usiivuke hata ikiwa unapenda umaridadi kiasi
gani, kidume hapo juu ameavua kwenda mbali
zaidi kuhusiana na mambo ya kujiremba na
kuamua kujibleach mwili wake kiasi cha kufikia
hivyo. Una litatzamaje hili?!!
daaah...hili punga tu...hakuna mjadala!!!!
ReplyDeleteDiih asingekua punga niboonge la HB
ReplyDelete