Ile kesi yangu na Kingwendu imekwisha na nime
msamehe, kuteleza kwa binaadamu no jambo la
kawaida na kizuri mtu akitambua kosa na kukiri
kosa kisha kuomba msamaha basi anastahili
kusamehewa bure na bila kinyongo... mtani
wangu huyu Wazaramo na Wasukuma ni
watani...NIMEMSAMEH E alhamd ulillah
Kingwendu aliondoka kuelekea nchini Msumbiji
na pesa y a awali aliyopewa na bondi kwa ajili ya
kucheza filamu ya uamin ifu dhaifu
Thursday, December 12, 2013
EXCLUSIVE : KINGWENDU ARUDI BONGO BAADA YA KUTOROKA NA MSHIKO WA DIRECTOR, SOMA ALICHOKISEMA DIRECTOR HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sa is angesubir akarudi ndo akakataa ndo akaema au ndo kutaka kuandika tu itafika mahala hata wakienda toilet wanasema gazetin
ReplyDelete