Ule usemi wa ukubwa dawa,umezaa matunda
kwa mwanamuziki wa bongo fleva nchini, Lady
jaydee aka Anaconda, baada ya kuwa ndiye
mwanamuziki pekee nchini Tanzania
anayeongoza kuwa na mashabiki wengi kwenye
mtandao wa kijamii wa FACEBOOk. Lady jaydee
amefikisha FANS 150,956 hadi sasa akifuatiwa
na Mtangazaji wa clouds fm mwenye kipaji cha
kipekee na sauti yenye mvuto, Millard ayo
ambaye yeye amejizolea ma Fans 150,653 huku
namba tatu ikiwa imeshikilwa na mkali
mwenyewe aka mfalme wa bongo fleva naseeb
abdul au Diamond ambaye amejizoelewa ma
Fans 138,471 hadi sasa kwenye mtandao huo
wa kijamii wa FACEBOOK, hii inazidi kuonyesha
ni jinsi gani lady jaydee anavyokubalika na
kuungwa mkono na jamii katika kazi yake ya
muziki,, BiG up kwa sana#TEAM ANACOND
Thursday, December 12, 2013
KWELI UKUBWA DAWA..!! HILI NI BALAA JINGINE LA LADY JAY DEE ANACONDA..!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
commando.....tisha sn hy mdada!!!
ReplyDeleteNampenda Sana na wanampenda sana vile hajivuni
ReplyDelete