Saturday, December 7, 2013
FILAMU MPYA YA SHAYMAA KUTOKA KWA WASTARA YAPOKELEWA VIZURI MTAANI, TAZAMA PICHA HAPA Baada ya muda mrefu kupita atimae filamu ya Wastara Sajuki imeingia mtaani rasmi jana Kupitia ukurasa wake facebook ameposti picha akiwa ameashika filamu hiyo mkononi na baada ya muda mashabiki wake wakaanza kumtumia picha wakiwa wameshika filamu hiyo Shaymaa inasambazwa na kampuni ya steps na ndani ikiwa imewashirikisha mastaa wengine kama Salm Jabu na Yusuph Mlela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HUO MZIGO MTAMU BALAA
ReplyDeleteHAHAHAHA HUYO WA MWISHO MBONA KATOA MACHO HIVYO
ReplyDeleteYaani nimesikia nzuri sana kesho naisaka na mimi!
ReplyDeleteAnaitwa othman thiney huyoo
ReplyDeleteWastara anapenda kulia kama johari aisee tusije tukaichoka style kama nilivyomchoka joharo ayayaya Johar kanitoooka
ReplyDelete