Tuesday, December 10, 2013

HAHAHA.. HII NI KALI SANA, TAZAMA ALICHOFANYA MITCHELLE OBAMA KWA MUME WAKE OBAMA SABABU YA WIVU HUKO AFRIKA KUSINI


Inaonekana Rais Obama alikuwa na wakati mzuri
sana katika Mandela's Memorial service mpaka
pale mke wake Mitchelle Obama alipoingilia kati
ka kuharibu kila kitu, unaweza ukawa Rais wa
Dunia ila mke wako akisema badili siti tu,
Mtazame Michelle Obama yupo pembeni
anafatilia kwa makini mno
Inaonekana hapo Mitchelle Obama aligeuka na
kuangali kinachoendelea baina ya Obama na
Huyu mwanamke
hapa Obama alikuwa Bize huku huyu mwanamke
akionekana kuendelea kupiga story
Baada ya uvumilivu kumshinda Mitchelle Obama
akaamua kubadilisha siti ili mumewe
asisumbuliwe tena.
Mapenzi noma sana

9 comments:

  1. hehehe mtu chake! kanunaaa huyo

    ReplyDelete
  2. lazma alinde mali zake....manake madem wa kizungu ni balaaaaaa...obama wa wa2 angepewa ujicho mpk amsahau mkewe!!!

    ReplyDelete
  3. sasa huyo mzungu hajajistukia

    ReplyDelete
  4. Hahahahahaaa kwanza picha zote mamamaa kanuna tu afu cheki alivyobadili sit nakukaa kibabe haahahahaaa

    ReplyDelete

.