Tuesday, December 10, 2013

KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI , YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0


Kikosi cha Tanzania Bara ' Kilimanjaro
Stars ' .
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ' Kilimanjaro
Stars ' imeondolewa kwenye michuano ya
Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya
baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya
Kenya ' Harambee Stars ' bao 1- 0 katika mechi
iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa
Nyayo uliopo jijini Nairobi!

1 comment:

  1. daaaaah....sie labda yaletwe mashindano ya majungu ndo tutashinda!!!

    ReplyDelete

.