Hii picha ya Rais Obama kupeana mkono na
Castro nayo imechukua headlines mitandaoni
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa
anazungumza kwenye
#Mandelamemorial Johannesburg Afrika
Kusini ambapo kabla ya kumiliki kipaza
sauti alipita kuwasalimia viongozi
mbalimbali waliokua karibu na alipokaa
kabla ya kusogelea kipaza sauti.
Miongoni mwa aliowasalimia kwa
kupeana mikono ni pamoja na Rais Jacob
Zuma wa Afrika Kusini na Rais Castro
ambapo hii ya kusalimiana na Rais
Castro ndio imechukua headlines kwa
sasa kutokana na historia iliyopo kati ya
nchi hizi mbili.
Tuesday, December 10, 2013
Hii picha ya Rais Obama kupeana mkono na Castro nayo imechukua headlines mitandaoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana
ReplyDelete