Katika mahusiano yaliyodumu kwenye maisha ya
Pdd, wanasema yalikuwa ya Jennifer Lopez na
Huyu wa sasa Msanii Cassie. Picha Hizi ni za
party moja waliokuwa pamoja Pdd Na Cassie na
zinaonyesha jinsi walivyo karibu mastaa hawa.
Cassie amekuwa na Puff Daddy kwa muda mrefu
sana, fahamu kuwa Cassie alikuwa model kwenye
kampuni ya Ryan Leslie.
Wanaendana sama tatizo ndoaaa
ReplyDelete