Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais
Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja
jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim
Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo
baada ya raisi wa marekani kumuita Kanye kuwa
ni "Jack Ass" yaani mtu mjinga ama Chizi hivi ...
Mwaka 2009 kwa mara ya kwanza Obama
alimwita Kanye Jack Ass baada ya Kanye
Kupinga ushindi wa Taylor Swift kushinda tuzo
ya Best Female Video MTV ..Kanye West
alivamia jukwaa na kupinga uteuzi huo....
Juzi Tena katika Mahojiona fulani na TV moja
Huko Marekani Obama Aliulizwa Jay z na Kanye
Yupi Unamchagua Ombana Akajibu Jay z, na
Obama akaulizwa kama bado anamchukulia
Kanye kama Jack Ass ..na akajibu hivi:
“He is a jackass,” Obama said. “But he’s
talented.”
Sunday, December 8, 2013
KANYE WEST AZINGUANA NA RAIS OBAMA WA MAREKANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Haaa Obama
ReplyDelete