Kikosi cha Kilimanjaro Stars .
Timu ya taifa ya Tanzania Bara ' Kilimanjaro
Stars ' imetinga robo fainali michuano ya
Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Burundi
bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa Uwanja
wa Nakuru nchini Kenya muda mfupi uliopita .
Bao pekee la Kilimanjaro Stars , limewekwa
kimiani na mshambuliaji , Mbwana Samatta
dakika ya 7 ya mchezo .
No comments:
Post a Comment