Saturday, December 7, 2013

KILIMANJARO STARZ YAWATOA WATANZANIA KIMASOMASO HUKO MOMBASA,YAITUNDIKA UGANDA NA KUITOA KWENYE MICHUANO CECAFA CHALLENGE CUP FULLTIME"


Kilimanjaro starz 2 vs UGANDA 2
Magoli ya Kilimanjaro STARZ
yamefungwa na Mrisho Ngassa yote
mawili.
Tukaenda kwenye Penati
Kilimanjaro starz(Wamepata penati
tatu,Kosa mbili(Samata na Erasto Nyoni)
Uganda(wamepata 2,tatu zimeota
mbawa)
Shukrani za Pekee zimwendee Golikipa
Ivo Philip Mapunda kwa kudaka Penati
Muhimu sana moja iliyowarahizishia
Kilimanjaro starz kupita kirahisi.
NINAYOFURUHA KUTANGAZA KUWA
KILIMANJARO STARZ TUMEFUZU
KWENDA NUSU FAINALI.
Kipindi cha Pili tumecheza pungufu baada ya
salum Abubakar(sureboy) kupewa Redcard.
Vivaaaa Tanzania Vivaaaaaa

1 comment:

.