Kinachoendelea KIGOMA muda huu na hata
kwenye kwenye Maandamano Makubwa ni hiki
wanachama wa CHADEMA wakiandamana
kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake
mkoani.
Mods tunaomba postive na Negative Pictures
anachokutana nacho Dr.slaa ziruhusiwe hapa
Jukwaani,naona watu wamekaa kusifiana tu
hapa.Ukweli ni Kwamba Dr.slaa amekutana na
wakati Mgumu akiwa Kigoma.Picha zingine
zitakuja na saambili Usiku ITV,TBC NA STAR TV
wataonesha hali ya leo Kigoma walivyojitokeza
Kupinga Ujio wa Dr.slaa.
ASANTE
Saturday, December 7, 2013
LIVE KUTOKA KIGOMA,DR.SLAA APAMBANA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Makubwaa
ReplyDelete