Saturday, December 7, 2013

PICHA ZA KIGOMA ALL STARS WAKIWA MOMBASA


Inaweza kuwa ni mara ya kwanza kwa wasanii
kutoka Kigoma All Stars kufanya show ya
pamoja Mombasa,Show hii ni moja kati ya tour
ya Kigoma All stars waliyoipa jina la
Lekadutigite East African and Drc Congo for
Peace Tour.
Wasanii ambao watakuepo ni pamoja na Abdul
Kiba,Mwasiti,Recho,Queen Darlin,Maunda
zoro,Chegge,Ommy Dimpoz,Diamond Platnumz
na wasanii wengine.
Show hii inafanyika pemben mwa fukwe za
bahari ya hindi Sehemu inaitwa Big Tree Beach.
jukwaa likiwa katika hatua za
mwisho

No comments:

Post a Comment

.