Tuesday, December 10, 2013

MCHEKI RAISI KIKWETE WA TANZANIA AKIWA S.A KTK IBADA YA MANDELA


Marais zaidi ya 90 wa nchi mbalimbali duniani
wameingia kwenye headlines kwamba
wanahudhuria maziko ya Mzee Nelson Mandela
nchini Afrika Kusini ambapo miongoni mwa
Marais hao, yumo Jakaya Kikwete wa Tanzania.
Kwenye picha ya kwanza hapo juu ni President
JK akisalimiana na Mwambata wa kijeshi kwenye
ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, hii
ilikua ni kwenye uwanja wa ndege wa Waterkloof
Airforce Base kusini mwa jiji la Pretoria.
Kwa mujibu wa kajunason.blogspot.com
November 11 2013 mwili wa Mzee Mandela
utakuwepo Union Building ambapo viongozi na
watu mashuhuri watatoa heshima zao za
mwisho ndani ya jengo hilo ambalo ni kama
Ikulu.
Miongoni mwa walioambatana na President ni
pamoja na Mama Salma Kikwete pamoja na
katibu mkuu wa CCM Abdurahman Kinana.

No comments:

Post a Comment

.