Tuesday, December 10, 2013

TAZAMA PICHA ALIYOWEKA BEYONCE AKIWA AMESHIKILIA BANGI NA POMBE KWA WAKATI MMOJA..!!


Mama wa Blue Ivy na mke wa Rapper Jay Z,
Beyonce Knowlence Carter aliwashangaza
mashabiki na wapenzi wa kazi zake za kimziki
hivi karibuni kupitia mtandao wa kijamii wa
Tumblr. Beyonce akiwa na marafiki zake na dada
yake Solange amabaye ni mwanamuziki pia,
walikuwa katika matembezi ya mapumziko huko
nchini Jamaica, Beyounce alipost picha ambayo
ameonekana akiwa ameshikilia mkono mmoja
bia na mkono mwingine kitu kama msokoto wa
bangi …
Wakati dada yake na rafiki zake wakijachia na
bia huku wakidandia miti, Beyonce alikuwa
amepozi na chupa ya bia na kitu kama bangi.
Picha hiyo imezua mjadala kwa mashabiki
kwamba mwana mama huyo anatumia mmea
huo wa kijamaica.

4 comments:

  1. labda kwa kuwa wapo jamaica ndo mana anajidai m2 wa ganja na yy!

    ReplyDelete
  2. kama pesa ipo hakuna shida ujue ganja mbaya kama huna chakula cha maana
    jilipue mama maisha menyewe mafupi

    ReplyDelete

.