Mcheza filamu za kibongo Riyama Ally amesema
anauwezo wa kulia kwa hisia kwenye filamu
lakini hamfikii Wastara Sajuki kwani yeye ulia
zaidi.
Riyama ameyasema hayo baada ya kuweka
picha kwenye mtandao wa “instagram“akiwa na
Wastara nakutaka watu wachangie picha hiyo
ambapo kila shabiki alivutia upande wa msanii
anaempemda
“mimi nalia ila wastara analia zaidi ila mashabiki
wataamua nani mshindi binafsi na mueshimu
sana wastara na ipo siku nitafanya nae kazi“
Kwa upande wake Wastara na yeye aliweka picha
hiyo kwenye mtandao huo huo wa
“instagram“nakutaka mashabiki waamue ambapo
hali ilikuwa sawa na kwa Riyama ampako kila
mtu alimtaja msanii wake
Wastara badae alisema anamkubali Riyama
kwani ni msanii anejituma na kufanya kazi kwa
bidii pia amefurai mashabiki walivyokua
wanachangia kwenye picha hiyo
Tuesday, December 10, 2013
MWIGIZAJI RIYAMA KUTOKA BONGO MOVIE AFUNGUKA HIKIIII KUMHUSU WASTARA. SOMA HAPA ALICHOKISEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wote wanalia liaa mi spend wazoeleke na kulilia sana wamemsahau Johari aaah
ReplyDelete