Tuesday, December 10, 2013

MSANII NGULI WA HIP HOP TOKA MAREKANI AJICHORA TATTOO KUBWA YA NELSON MANDELA........SOMA HAPA ALICHOKISEMA BAADA YA KUCHORA TATTOO


Hakuna mtu yoyote ambaye hajaguswa na kifo
cha Mzee Nelson Mandela kutokana na historia
ya pekee aliyoiacha kiongozi huyu wa Afrika
Kusini.
Kuanzia mataifa ya Asia,Ulaya,Marekani,
wanamichezo,waigizaji hadi watu wa kawaida
wameonyesha masikitiko yao kwa kumpoteza
mfano mzuri kwenye uongozi.
Headline mpya inamhusisha msanii nguli wa
hiphop The Game ambaye ni mpenzi mkubwa wa
tatoo. Hivi sasa amechora tatoo kubwa za sura
za wanae,Barack Obama, Trayvon Martin na
Nelson Mandela akiangalia nje ya gereza.
The game ali-share picha akionyesha tatoo hiyo
kubwa na kuandika ,“The finished ‘Nelson
Mandela’ lookin out of the prison bars by
@NikkoHurtado done on my side. 7 hour
sitting…. Few more hours to tie in the tats
around it & we solid,”.

1 comment:

.