Tuesday, December 10, 2013

MZEE SMALL YUPO HAI, TAARIFA ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI


KUNA taarifa zilizagaa kuwa msanii
mkongwe wa vichekesho na maigizo nchini ,
Said Ngamba ‘Mzee Small ’ amefariki dunia .
Taarifa hizo ni za uongo na uzushi maana
mwandishi wetu ameongea na mke wa Mzee
Small pamoja na Mzee Small mwenyewe
ambaye ni mzima kabisa ! Mke wa Mzee
Small anadai usiku kucha hajalala maana
alikuwa anapokea meseji za pole kutoka kwa
watu mbalimbali kuhusu taarifa hizo za
uzushi. Mzee Small mwenyewe amesema:
"Mimi ni mzima kabisa japo bado
nasumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi
( stroke)"
Mzee Small akiwa na mkewe.

1 comment:

.