MSANII wa muziki wa Bongo Fleva ,
Emmanuel Elibariki ‘ Nay wa Mitego ’ ,
amefungua ukurasa mpya wa skendo baada
kuachia picha zake alizozipiga kihasarahara
akiwa laivu na warembo katika chumba cha
hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini
Kenya.
Nay wa Mitego akiwpozi na warembo katika
chumba cha hoteli moja maarufu jijini
Nairobi nchini Kenya .
Mkali huyo ambaye anatamba na kibao ha
Peleka Salam, amevujisha picha hizo
zinazomuonesha akiwa amezungukwa na
warembo hao huku sehemu kubwa ya mwili
wake ukiwa wazi na nyingine kufunikwa na
taulo .
Nay akiwa amezungukwa na warembo.
Aidha warembo hao nao walionekana
kuchojoa viwalo vyao na kujifunika mataulo
tu kuziba sehemu za miili yao.
Nay wa Mitegho ambaye alienda Nairobi hivi
karibuni na kukutana na wasanii kadhaa wa
jijini humo ambao walimtembeza katika
viwanja kadhaa vya starehe katika
mishemishe za kujirusha na kugundua
kwamba anakubalika sana nchini humo .
.. .Akichat kwenye simu katikati ya warembo
hao.
Mwandishi wetu alimvutia waya , Nay wa
Mitego ambaye amerejea nchini hivi karibuni
ili kutaka kujua sababu za kupiga picha
hizo , msanii huyo alikiri kuzipiga huku
akikanusha kutenda ufuska wa aina yoyote
ile.
... Mtu kati
“ Nilipokuwa Nairobi nimepiga picha nyingi
kutokana na kuwa na mashabiki wengi
nchini humo lakini zipo nyingine ambazo
kwa kweli si nzuri ila nilizipiga kwa ajili ya
video yangu mpya, ” alisema Nay wa Miteg
Tuesday, December 10, 2013
NAY WA MITEGO LAIVU NA TOTOZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hawachelewi kutuambia ni movi
ReplyDeleteHahaha video ya wimbo hiyo
ReplyDeletekawaiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletecjaona kipya apo ata mate ajaoteaaaaa
hahahaaaaaaaaaaaaaa