Monday, December 9, 2013

PROF.MUHONGO AMTWANGA NYUNDO NZITO MENGI MPAKA AKAWEWESEKA MDAHALONI


Jana nikikua katika mdahalo wa rasilimali pale
ukumbi wa Nkurumah ,waliopewa nafasi ya
kuzungumza katika kungamano lile ,Dr Mengi nea
alipewa nafasi,yeye katika kuongea alikazia
swala la watanzania wazawa wapewe nafasi ya
kumiliki vitalu vya gesi ili waweze kunufaika la
rasilimali hiyo akitolea mifano nchi kama
NIGERIA na ANGOLA wazawa binafsi
walivyopewa nafasi ktk nchi zao,,ilivyofika nafasi
ya prof Muhongo yeye alitonyesha presentation
na twakimu na data zinazoonyesha watanzania
wanaomiliki maeneo makubwa ya
uwekezaji,,,katika twakimu hiyo Dr Mengi
anashika nafasi ya 3 na anaukubwa wa eneo
ambalo ukubwa wake mara 3 ya dar es
salaam,,laini hamna cha maana anachonufasha
watanzania badala ya yeye tu kutajirika
binafsi..baada ya data hizo kutolewa Mengi
alikua hana amani pale alipokaa na alikua
anasimamasimama huku akinyosha mkono
apewe nafasi ya kuongea wakati yeye
alishaongea,,baada ya mdahalo kuisha dr
Mengi,Mnyika,Tundu lisu,na Mtatiro wakajihisi
wapo DEFEATED baada ya ile nyundo ya
Muhongo,,wakaamua kukusanya watu na kuhaidi
kua ule mdahalo utaendelea tena jpili ijayo na
utarushwa na ITV ili wajibu ile nyundo ya
MUHONGO..Muhongo alikua anaongea kwa data
wakati wao walikua wanaleta maneno matupu tu
ndio maana walioloa JASHO jana..
Prof Muhongo amtwanga nyungo nzito Mengi
mpaka akaweweseka...

1 comment:

  1. Aliyeandika huyi hoi habari kamna sio CCM basi kalipwa

    ReplyDelete

.