Tuesday, December 10, 2013

RUSHWA YA NGONO NDANI YA BONGO MOVIE, FLORA MVUNGI AFUNGUKA ALIVYOOMBWA RUSHWA YA NGONO TENA KINYUME NA MAUMBILE.!!


MSANII wa filamu Flora Mvungi, amefunguka live
na kutoa siri nzito ilikuwa moyoni mwake ya
kuombwa rushwa ya ngono kinyume na
maumbile kutoka kwa wasanii wakubwa na watu
maarufu kwa lengo la kumpa nafasi (scripti)
zaidi ya kucheza kazi zao.
Kitendo hicho cha kuombwa rushwa ya ngono
tena ya kinyume na maumbile kilimpa wakati
ngumu kwa kuwa hana tabia hiyo chafu ya
udhalilishaji wa kijinsia.
Masharti haya mazito alipewa ili aweze
kuonekana kwenye filamu zao
"Kwa kweli nilikuwa katika wakati mgumu unajua
wengi walidhani mimi ni mwanamke ambaye
naweza kujitoa kama wao wanadhani na ilifika
kipindi walinipa hadi masharti ya kucheza
kwenye filamu zao," aliongeza.

1 comment:

.