Thursday, December 5, 2013

SAMAHANI KWA PICHA HIZI: HUYU NDIYE KIKONGWE ALIYEUWAWA KIKATILI KWA KUKATWA NA PANGA SHINGONI KWASABABU ZA KISHIRIKINA


Bibi Lucia alivyokatwa panga
Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia
Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani
Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa
kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana.
Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia
juzi majira ya saa mbili usiku wakati bibi huyo
akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha
jioni.
Marehemu akiwa katika eneo alilokuwa akila
chakula na wajukuu zake
Marehemu amepoteza maisha baada ya kukatwa
panga sehemu ya bega lake la kushoto na
Shingoni.
Sababu ya mauwaji hayo inaelezwa kuwa ni
imani za kishirikina.

3 comments:

.