Kijana mmoja aitwaye , John Jimmy Macharia
( 23) wa Nairobi, Kenya anayedaiwa kuwa
shabiki wa timu ya Manchester United ya
nchini Uingereza juzi Jumamosi alijiua kwa
kujirusha kutoka ghorofa ya saba alipokuwa
baada ya timu hiyo kufungwa na Newcastle
United bao 1-0 . Timu hiyo ilifungwa katika
mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa
Old Trafford , Manchester ambapo bao hilo
lilifungwa na Yohan Cabaye dakika ya 61 ya
mchezo .
Monday, December 9, 2013
SHABIKI WA MANCHESTER UTD NAIROBI AJIUA BAADA YA TIMU YAKE KUFUNGWA NA NEWCASTLE 1- 0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh man u tunakwishaaaa
ReplyDeletendo mu mrudishe babu kaondoka na uchawi
ReplyDeleteahaha Millan unawaZimu?
ReplyDeleteahahaha millan una wazimu
ReplyDelete