Sunday, December 1, 2013

TASWIRA KUTOKA FAINALI ZA EBSS 2013

 
Majaji wa fainali za EBSS 2013 kutoka kushoto: Banana Zorro, Madam Ritta na Master J wakifuatilia fainali hizo.
Wanakitivo watakaohesabu kura za washiriki wakiongozwa na Saldado (kushoto), Barnaba (kati) na Fid Q.
Washiriki walioingia Tano Bora wakiwa stejini kwa pamoja.
Tano Bora wakitoa burudani na Peter Msechu.
Tano Bora wakizidi kulishambulia jukwaa la EBSS 2013.
Mwanamitindo Martin Kadinda akipozi Red Carpet.
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia fainali hizo.
Madam Ritta na Master J wakifuatilia fainali za EBSS 2013.
Fainali za Epic Bongo Star Search 2013 (EBSS) kwa sasa zinaendelea ndani ya Escape 1 Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo washiriki watano walioingia Tano Bora watachuana vilivyo mpaka apatikane mshindi. Endelea kuwa nasi mpaka mwisho wa fainali hizi.


Mwanamuziki Snura Mushi akiwajibika jukwaani kwa kucheza wimbo wake wa 'Nimevurugwa'.
Mwanamuziki Walter Chilambo ambaye ndiye mshindi wa shindano 








Mshiriki mmoja kati ya Tano Bora kutoka mkoani Mbeya, Amina Chibaba akifanya vitu vyake stejini.
Amina akionyesha umahiri wake stejini.
Akizidi kulishambulia jukwaa la EBSS 2013 kwa fujo.
Mshiriki Maina Thadei akionyesha manjonjo yake stejini.
...Akizidi kupagawisha katika fainali hizo.
Maina akizidi kupigania ushindi wa EBSS 2013.
Emmanuel Msuya mwanaume pekee aliyebaki katika shindano hili akionyesha umahiri wake stejini.
Emmanuel akionyesha ufundi.
...Akiwania kuibuka mshindi wa EBSS 2013.
Mshiriki Elizabeth Mwakijambile akiwa jukwaani.
...Eliza akiwapagawisha mashabiki.
...Akionyesha machejo yake.
Mellisa John akiwa stejini.
...Akionyesha machejo yake.
Mellisa John akisubiri maoni ya majaji.
Washiriki wa shindano la EBSS 2013 wakichuana katika raundi ya kwanza ndani ya Escape 1 Mikocheni jijini Dar.





Washiriki walioingia Tatu Bora kutoka kushoto ni Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John.
Mshiriki Mellisa John ameaga mashindano ya EBSS 2013.
Emmanuel Msuya akilia machozi ya furaha baada ya kuingia Tatu Bora.
Washiriki Elizabeth Mwakijambile, Emmanuel Msuya na Mellisa John wamefanikiwa kuingia Tatu Bora katika fainali za EBSS 2013 ndani ya Escape 1, Mikocheni jijini Dar muda huu. Wasanii walioaga mashindano ni Maina Thadei na Amina Chibaba.
E
Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile baada ya kubaki wawili katika fainali za EBSS 2013.
Washiriki Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile wanachuana kutafuta mshindi wa EBSS 2013 katika fainali zinazoendelea ndani ya Escape 1, Mikocheni jijini Dar muda huu.
BSS 2
Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya.
012 akitumbuiza stejini

2 comments:

  1. Dah hongera sana kijana unastahili

    ReplyDelete
  2. Anadela huyo mwenyewe kakumbatia kama yupo na mama yake haha

    ReplyDelete

.