January 2013 kuna Wanawake wawili
walikamatwa kwenye Uwanja wa ndege wa JFK
New York Marekani wakiwa wametumia mbinu
ya kubeba dawa za kulevya zenye thamani ya
dola za Kimarekani laki nane na nusu. Mmoja wa
hao Wanawake hao waliokua wakirudi
Dominican Republic, Michelle Blassingale
mwenye umri wa miaka 36 amehukumiwa
kifungo cha miaka miwili gerezani.
Wakati wa kukamatwa kwao, mmoja wa wawili
hawa ambae ni Priscilla Pena alionekana kuwa
muoga kabla ya Askari kumshtukia ambapo
baadae ilikua kujulikana hii mbinu ya kubeba
dawa za kulevya kwa kuzivaa kama nepi
ilimfanya kila mmoja wao kubeba kilo mbili na
nusu za dawa hizo.
Friday, December 13, 2013
WANAWAKE WALIOKAMATWA WAKIWA WAMEWEKA MADAWA YA KULEVYA KWENYE MAKALIO WAHUKUMIWA KWENDA JELA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Diiih
ReplyDelete